Nafasi Ya Matangazo

March 27, 2011

 Mkulima wa mfano aliyepata maendeleo makubwa kutokana na kutumia Nishati ya BIOGES Mkoani Arusha Bw. Suleiman Juma, akimfahamisha Makamu wa Rais  Dk. Mohamed Gharib Bilal juu ya uandaaji na matumizi ya Nishati hiyo, wakati Makamu wa Rais alipomtembelea mkulima huyo shambani kwake Arusha leo, kabla ya kuzinduwa rasmi Program mpya ya BIOGES katika ngazi ya kaya Machi 26, 2011 Arusha. Katikati Waziri wa Nishati na Madini Mhe. William Ngeleja na Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara.
 Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal, akiangalia Vifaa vya  aina mbalimbali vinavyotumia Nishati ya BIOGES vinavyotengenezwa na George Traser kutoka katika kampuni ya Kakute ya Ujerumani.
Mtaalam wa mambo ya umeme katika Taasisi ya Kitaifa ya Utafiti wa Teknolojia ya maendeleo ya Nishati ya Kilimo na Ufugaji CAMARTEC Msafiri Mhumwe akimuonesha Makamu wa Rais  Dk. Mohamed Gharib Bilal, moja ya aina ya taa na baadhi ya vifaa vinavyotumia Nishati Jadidifu ya BIOGES.
Posted by MROKI On Sunday, March 27, 2011 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo