Nafasi Ya Matangazo

December 26, 2010

 Jengo la Makazi ya Spika linavyoonekana kwa sasa
 Spika wa Bunge Mhe. Anna Makinda akisikiliza maelezo ya maendeleo ya ujenzi wa makazi ya Spika kutoka kwa Maafisa wa Bunge pamoja na wakandarasi kutoka Wakala wa Ujenzi (TBA)

Spika wa Bunge Mhe. Anna Makinda akisikiliza maelezo ya maendeleo ya ujenzi wa makazi ya Spika yanayojengwa Dodoma kutoka Maafisa wa Bunge pamoja na wakandarasi kutoka Wakala wa Ujenzi (TBA). Kulia kwake ni Afisa Tawala wa Bunge, Athumani Kwikima.

 Spika wa Bunge Mhe. Anna Makinda akielekeza jambo mara baada ya kutembelea maendeleo ya ujenzi wa makazi ya Spika yanayojengwa Dodoma. walioambatana nae ni maafisa toka Ofisi ya Bunge, wakala wa Ujenzi na wakandarasi wa Kampuni inayojenga jengo hilo. Picha zote na Owen Mwandumbya wa Bunge
Spika wa Bunge Mhe. Anna Makinda akisikiliza maelezo ya maendeleo ya ujenzi wa makazi ya Spika yanayojengwa Dodoma kutoka Mkurugenzi Msaidizi wa Bunge Didas Wambura, (katikati) kushoto ni Kaimu Katibu wa Bunge Eliackim Mrema.
Posted by MROKI On Sunday, December 26, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo