Nafasi Ya Matangazo

December 26, 2010

 Mgeni rasmi wa kufunga Kozi ya Ukocha wa Mchezo wa Ngumi John Eyebel  kutopka Chikago Marekani (kulia) akimtunuku cheti muhitimu wa mafunzo ya ukocha wa  klabu ya Ashanti Rajabu Mhamila ,Super D baada ya kumaliza kozi hiyo 24.12.2010
 Mafunzo yakiendelea...
 Wahitimu katika picha ya pamoja baada ya kuhitimu mafunzo.
Kocha wa Ashanti Boxing Rajabu Mhamila Super D wa pili kushoto akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa timu hiyo baada ya kutunukiwa cheti kushoto ni Juma Mwalimu Miwani Emanuel Mgaya na Iddy Ramadhani.
Posted by MROKI On Sunday, December 26, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo