Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Hamid Mahamoud akimuapisha Dk. Ali Mohamed Shein kuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi kufuatia Ushindi alioupata katika Uchaguzi Mkuu uliofanyika juzi. Sherehe hizo zilifanyika leo katika uwanja wa Amani Zanzibar.
0 comments:
Post a Comment