Nafasi Ya Matangazo

November 03, 2010



Hii ndio biashara ya mafuta ya alizeti ambayo kila kona ya mji wa Singida na vitongoji vyale ukipita yametapakaa. mafuta haya ni mazuri sana maana hayana kemikali hatari kwa afya ya mwanadamu.
Posted by MROKI On Wednesday, November 03, 2010 1 comment

1 comment:

  1. Jirani Father,
    Ulikumbuka kuulizia bei mkuu?
    Tufahamishe bei ya manunuzi kaka.
    Asante.

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo