Wachuzi wa nyma wakiandaa mbuzi kwaajili ya kuuza katika gulio la kila wiki la Kijij cha Mtamaa kilichopo Mkoani Singida.
Nyama zikisubiri wateja
Mbuzi akicharangwa baada ya mteja kupatikana.
Nyama ya ng'ombe nayo ipo gulioni hapo.
Mbuzi huchinjwa kwenda mbele
Huyu jamaa ni shujaa anachinja Ngombe mwenyewe! Lahasha jamaa alikuwa akimalizia tu uchinjaji.




swala zima la hygiene linanipa homa kuangalia tuu hio mipicha
ReplyDelete