Jaji Frederick Werema akila kiapo mbele ya Rais Dr.Jakaya Mrisho Kikwete mara baada ya kuteuliwa na Rais kuwa Mwanasheria mkuu wa Serikali leo.Sherehe za kuapishwa kwa jaji Werema zilifanyika ikulu jijini Dar es Salaam leo jioni.
Rais Dr. Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi miongozo ya Kazi Mwanasheria Mkuu wa Serikali Jaji Frederick Werema wakati wa hafla ya kumuapisha iliyofanyika ikulu jijini Dar es Salaam leo mchana.




0 comments:
Post a Comment