Msongamano katika jiji la Dar es Salaam umekuwa mkubwa kila siku zinavyokwenda magari yanaongezeka ,pichani dada huyu yupo hatarini kama invyoonekana akiwa kazini jirani na kituo cha stesheni ya reli.
Usafirishaji wa mbolea ni mzuri kwa ajili ya kuwagawia wakulima nchini , pichani baadhi ya mifuko ya mbolea ikiwa imeanguka baada ya kuzidiwa uzito katika barabara ya Kilwa jijini leo.
Askari wa Usalama barabarani akijitahidi kuyaongoza magari jijini Dar es salaam leo ili kujaribu kupunguza msongamano .
Wajasiriamali wakiwa katika eneo la barabara ya mandela
wameongozana leo jijini wakati wakielekea kuuza matunda mbalimbali kwa wakazi wa jijini .
Picha zote na Mwanakombo Jumaa wa Maelezo.




0 comments:
Post a Comment