Rais Mteule wa Tanzania Jakaya Kikwete akiwa kazini ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam muda mfupi baada ya kuapishwa kuendelea kuiongoza Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Kazi ya kwanza aliyoitekeleza Rais ilikuwa kumteua Mwanasheria Mkuu wa Serikali ambapo Jaji Frederick Werema aliteuliwa na kuapishwa kuendelea kushika wadhifa huo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)





0 comments:
Post a Comment