Nafasi Ya Matangazo

November 16, 2010

Mbunge wa Katavi na Waziri Mkuu aliyemaliza Muda wake amependekezwa na Raia Jakaya Kikwete kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Muda si mrefu jina hilo litapigiwa kura ya kukubali uteuzi huo. Hivi sasa Bungeni Mwanasheria Mkuu wa Serikali anazungumza kuliomba Bunge lipitishe hoja ya kumuidhinisha.
.....endapo Pinda atathibitishwa na Bunge kuwa Waziri Mkuu ataapishwa kesho katika Ikulu ndogo ya Chamwino mjini Dodoma Novemba 16,2010.
Posted by MROKI On Tuesday, November 16, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo