Nafasi Ya Matangazo

November 16, 2010



Hii ilikuwa huko Singida katika Kijiji cha Mtamaa ambako kunakuwa na Mnada wa Kila wiki. Hapa jamaa alinunua Tumbaku na kuliwasha kwa kutumia kiwashio maalum ambacho ni magunia yaliyozungushwa vyema mithili ya utambi ambayo hayazimi kutwa nzima.
Posted by MROKI On Tuesday, November 16, 2010 1 comment

1 comment:

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo