Nafasi Ya Matangazo

November 07, 2010

 Wasanii wa kikundi cha huduma majumbani KIHUMBE wakionyesha manjonjo yao kupitia sarakasi wakati wa Tamasha la Mtikisiko lililofanyika uwanja wa Sokoine jijini Mbeya na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania.
 Kikundi cha black ninja kikionyesha umahili wao wa kareti kwenye tamasha la mtikisiko lilifanyika uwanja wa Sokoine Mbeya na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania.
Mmoja wa wasanii chipukizi wa   mbeya akikonga nyoyo za watu katika tamasha la mtikisiko lililofanyika uwanja wa Sokoine jijini Mbeya na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania.
Posted by MROKI On Sunday, November 07, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo