Nafasi Ya Matangazo

November 16, 2010

 Wakiwa na nyuso za furaha ni Maharusi Kidai Senzala Kaluse na Bi. Hiltruda Tarimo baada ya kufunga ndoa yao takatifu Novemba 13, 2010 katika Kanisa la Kiinjili la Kilitheri Usharika wa Kimara na kufuatiwa na tafrijka ya aina yake iliyofanyika katika ukumbi wa JK uliopo viwanja vya Sabasaba Dar es Salaam. Bwana Harusi ni Mrakibu Msaidizi wa Jeshi la Polisi na Rubani wa Jeshi hilo na Bi harusi ni Mwanachuo wa Chuo cha Uhasibu Tawi la Mbeya.
 Unapofanya tendo hili ni sawa na kupigana busu shurti ufumbe macho, ndivyo Hiltruda na Kidai wanavyo fanya wakati wakivishana pete za ahadi na alama ya ndoa yao.
 Hakika walipendeza na wawili hao waliemdana kuwa mwili mmoja.
 Wapambe nao waliperndeza vilivyo.
 Baba wa bwana Harusi  Senzala Kaluse na Mwalimu Stella Kaluse (kushoto) wakiwa kanisani.
 Maharusi wakipiga picha ya pamoja na mawifi (dada wa bwana harusi) Kulia ni Maria na kushoto ni Vicky.
 Wakiingia ukumbini tayari kwa kupongezana na familia, ndugu jamaa na marafiki.
 Haya sasa hawa ni wajomba wa bwanba harusi, kutoka kulia ni Daniel, Nathan, Lloyd Atenaka Nathan, Zakaria Ernest, na Onesmo Nathan ambaye ndiye alikuwa mwenyekiti wa shughuli.
Familia ya Mzee Kaluse katika picha ya pamoja na maharusi akiwepo Mheshimiwa DC Hawa Ng;umbi (waliosimama kushoto).
Posted by MROKI On Tuesday, November 16, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo