Wanachama wa CCM wakimsaidia kumuingiza kwenye gari mzee huyu ambaye hakuweza kufahamika jina lake mara moja baada ya kuvunjika mguu kufuatia kuangukiwa na ukuta katika ofisi ya CCM wilaya kigoma Mjini wakisherehekea ushindi wa mbunge wa jimbo la kigoma Mjini Peter Serukamba.
Askari wa kutuliza ghasia wakiwa tayari kwa ajili ya kudhibiti ghasia kufuatia vurugu zilizokuwa zimezushwa na wafuasi wa CHADEMA wakipinga ushindi wa mgombea wa CCM katika jimbo la Kigoma Mjini Peter Serukamba.

Gari la Polisi likipita katika barabara iliyo fungwa kwa kuchomwa matairi.
Moto ukiwaka katikati ya barabara ya lami. Jambo huli si athari kwa mazingira tu bali pia hata kw lami hiyo huharibika.







0 comments:
Post a Comment