Nafasi Ya Matangazo

November 23, 2010


Wafugaji wa jamii ya Kimasi waishio Dumila mkoani Morogoro wakipitisha mifugo yao katika mashamba ya wakulima kutafuta malisho hivi karibuni. Upitishaji wa mifugo mashambani ndio chanzo cha migogoro mingi baina ya wakulima na wafugaji nchini. 
Posted by MROKI On Tuesday, November 23, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo