Nafasi Ya Matangazo

November 23, 2010

Katika mazingira ya kawaida kuwapakia watoto mbele katika pikipiki tunasema tunawalinda na ajali lakini ukirudi nyuma na kuangalia hapa tunawapa maradhi ya mapafu maana upepo unaowapiga wakiwa hapa mbele ni hatari na huweza kujaza maji tumboni mna katika mapafu na kuleta madhara. Tuwe tunawavalisha makoti ndipo wakae hapa mbele. 
Posted by MROKI On Tuesday, November 23, 2010 1 comment

1 comment:

  1. Pendekeza usafiri mwingine mbadala basi. Unataka wasafirije?

    Na wewe ni daktari? Kama siyo unajuaje kwamba upepo "wa hapa mbele" unaweza kuwapa maradhi ya mapafu? Watu wengine bwana. Kijijini kule tulibebwa sana kwenye magari ya wazi na upepo na vumbi kama kawa. Mbona leo hatuna "ugonjwa wa mapafu?" Au huu ni ugunduzi mpya umefanya mkuu!

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo