Nafasi Ya Matangazo

November 03, 2010

Hizi ni moja ya jitihada za kuhamasiha utalii kwa wagei wajao nchini kwetu kupitia uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere. Ipo haja vituo kama hivi kuwepo pia Ubungo kituo kikuu cha mabasi ya mikoani.
Posted by MROKI On Wednesday, November 03, 2010 2 comments

2 comments:

  1. Mmmmh!

    Kaka NIMEKUSOMA kaka.

    Asante

    ReplyDelete
  2. Utalii na visuruali hivyo? huu utani

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo