Hili ndo soko la samaki Bagamoyo na vibanda vyake vimechoka na kuhitaji ukarabati mkubwa kutoka kwa wadau.
Wanunuzi wa samaki wakiwa katika eneop la baharini ambako minada inafanyika kutokana na ukosefu wa eneo la kutosha kufanyia minada.
Wachuuzi wa samaki wakipaa samaki baada ya kuwanunua.
0 comments:
Post a Comment