Hapamaharusi wakiwa ufukweni
Hili ni pozi lakini wengi walitaraji kumuona bwa harusi kambeba mkewe.
Mike Kitomari & Hellen Mlacky siku ya harusi yao iliyofungwa K.K.K.T Azania Front tarehe 2/10/2010 na baadaye kufuatiwa na sherehe iliyofanyika ktk ukumbi wa Lion Hotel Sinza.Bwana harusi ni mfanyakazi wa Hazina ndogo-Tanga




0 comments:
Post a Comment