Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe na Mwakil;ishi Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini (UN) Dr Alberic Kacou wakifuatilia kwa umakini maadhimisho ya siku ya UN katika viwanja vya Karimjee Dar es Salaam leo Oktoba 22,2010.
Sehemu ya Wakuu wa Mashirika yaliyo chini ya Umoja wa Mataifa wakiwa katika sherehe hiyo.
Mwakilishi Mkazi wa Umoja wa Mataifa (UN) Dr Alberic Kacou akihutubia katika sherehe hizo.




0 comments:
Post a Comment