Nafasi Ya Matangazo

August 06, 2010

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mh. William Lukuvi akimtwisha ndoo ya maji mkazi wa Mchikichini,bi. Mwanaisha Ramadhan mara baada ya uzinduzi mradi wa Maji uliofadhiliwa na Kampuni ya Bia Tanzanbia TBL. Mradi huo unakwenda kwa jila la HAKUNA MAJI, HAKUNA UHAI. Mradi huo upo Ilala Mchikichini.
Picha zaidi
Posted by MROKI On Friday, August 06, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo