Nafasi Ya Matangazo

August 06, 2010

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Amani AbeidKarume,akikata Utepe kama ishara ya Uzinduzi wa Jengo jipya la Baraza laWawkilishi la Zanzibar huko Mbweni Nje ya mji wa Zanzibar,(katikati) SheikhAbdulla Moh'd Al_Youseif na Majid El Sheikh Nurdin Mkurugenzi Mkuu wa Jumuiyaya Al_Youseif Establishment.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Amani AbeidKarume,akikagua ukumbi wa Jengo jipya la Baraza la Wawakilishi liliopo MbweniNje ya Mji wa Zanzibar,Ujenzi wa Jengo ilo umefadhiliwa Jumuiya ya Al_YouseifEstablishment,(kulia) Msimamizi wa Ujenzi Ramadhan Mssa Bakari.
Posted by MROKI On Friday, August 06, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo