OfisaUhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania TBL, Edita Mushi akizungumza katika hafla fupi ya kukabidhi fulana na stika za Wiki ya nenda kwa Usalama kwa Kikosi cha Polisi Usalama Barabarani Dar es Salaam Agosti 4 2010. pamoja na e ni Afisa Mnadhimu wa Polisi Trafiki, ACP Johansen Kahatano aliyepokea msaada huo kwaniaba ya Kamnada wa Trafiki SACP Mohamed Mpinga. Ofisa Mawasiliano wa Kampuni ya Bia Nchini TACP Johansen KahataBL, Edita Mushi akikabidhi fulana na stika kwa Ofisa Mnadhimu wa Polisi Trafiki, ACP Johansen Kahatano kwa niaba ya Kamanda wa Kikosi hicho SACP. Mohamed Mpinga. Ofisa Mnadhimu wa Polisi Trafiki, ACP Johansen Kahatano akizungumza baada ya kupokea msaada huo.
ACP Johansen Kahatano akionesha stika alizopokea kutoka TBL. Askari wakishusha makasha ya fulana na stika hizo kutoka TBL.
Askari Faustina Ndugunguru akibandika moja ya stika hizo zenye ujumbe wa Wiki ya Nenda kwa Uslama mwaka huu katika pikipiki baada ya kuzipokea kutoka TBL.
Ofisa wa TBL Edita Mushi akiangalia Askari anavyobandika Stika za maadhimisho ya wiki ya nenda kwa Usalama baada ya kuzikabidhi.
Naona jitihada zako mama such a brilliant task. big up father Kidevu
ReplyDelete