Nafasi Ya Matangazo

July 26, 2010

Kiongozi wa Ujumbe wa wadau wa sekta ya Nishati kutoka Trinidad na Tobago ambaye pia ni balozi wa nchi hiyo Uganda Bw. Patrick Edwards akichangia jambo wakati wa mkutano wa wadau wa sekta ya Nishati kutoka Tanzania na Trinidad na Tobago leo jijini Dar es salaam.
Wadau wa sekta ya Nishati kutoka Tanzania na Trinidad na Tobago wakifuatilia mada mbalimbali zilizowasilishwa kuhusu namna nchi hizo zinavyoweza kushirikiana katika uwekezaji kwenye sekta ya nishati ya Gas na Petroli.
Kamishina wa Nishati na Petroli kutoka Wizara ya Nishati na Madini Injinia Bashir Mrindoko akiongea na wadau wa sekta ya Nishati kutoka Tanzania na Trinidad na Tobago wakati wa mkutano unaojadili namna ya kushirikiana katika uwekezaji katika sekta ya
Nishati leo jijini Dar es salaam. /Picha: Aron Msigwa - MAELEZO.

Posted by MROKI On Monday, July 26, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo