Nafasi Ya Matangazo

July 26, 2010

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na baadhi ya majaji na mawakili wakati alipohudhuria katika ufunguzi wa vikao vya mahakama ya RufaniTanzania kanda ya Sumbawanga mkoani Rukwa, Julai 26,2010. Kulia kwake ni Jaji Mkuu wa Tanzania, Augustino Ramadhani.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na baadhi ya majaji na mawakili wakati alipohudhuria katika ufunguzi wa vikao vya Mahakama ya Rufani Tanzania kanda ya Sumbawanga mkoani Rukwa, Julai 26,2010. Kushoto ni Jaji Mkuu wa Tanzania,
Augustino Ramadhani.
Posted by MROKI On Monday, July 26, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo