Nafasi Ya Matangazo

July 21, 2010

Mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi, (CCM), jimbo la Moshi Mjini, mkoani Kilimanjaro, Bw. Justin Salakana, (mwenye kofia), akipokea fomu za kuwania nafasi ya uteuzi wa chama hicho katika kura za maoni kuwania kiti cha ubunge jimbo la Moshi Mjini kutoka kwa katibu wa CCM wilaya ya Moshi Mjini, Bw. Yusuph Kamote.
Posted by MROKI On Wednesday, July 21, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo