Nafasi Ya Matangazo

July 09, 2010

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Viongozi wa Mkoa wa Dodoma baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma akitoka Dar es salaam Julai 8, 2010. Kulia ni Mkewe Tunu.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dkt. James Msekela (kushoto) wakikagua maandalizi wa ukumbi wa Kizota utakapofanyika mkutano mkuu wa CCM hivi karibuni.
Posted by MROKI On Friday, July 09, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo