Mwakilishi wa Shirika la Utangazaji la Taifa (TBC) mkoani Tanga Bi. Hilda Mtenzi (pichani) amefariki Julai 24 2010 katika Hospitali ya taifa Muhimbili alipolazwa akisumbuliwa na maradhi ya kichwa. Mwili wa Marehemu Mtenzi unataraji kuagwa
leo mchana Hospitalini hapo.
Bwana alitoa na bwana ametwaa Jina lake Lihimidiwe, AMINA






PUMZIKA KWA AMANI BINAMU YANGU INAUMA SANA NIMEUMIA SANA SIKUTEGEMEA KAMA UNGETUTOKA MAPEMA HIVI YOTE YANA MUNGU
ReplyDelete