Mpigapicha wa Magazeti ya serikali ya Daily News na HABARILEO Athumani Hamisi akifanyiwa mazoezi na nesi wake kutoka Afrika Kusini Faith Nhlapo hivi karibuni nyumbani kwake Sinza Dar es Salaam. Wiki iliyopita Athuman akiwa katika mazoezi ya viungo aliteleza kwa bahati mbaya na kuvunjika mguu wake wa kulia sehemu ya paja na kufanyiwa upasuaji Hospitali ya Taifa Muhimbili kitengo cha mifupa MOI. Awali alipata ajali ya gari na kuvunjika uti wa mgongo na baade kupelekwa nchini Afrika kusini kwa matibabu. Hivi sasa hali yake inaendelea vizuri.Picha: TSN/HABARILEO.
0 comments:
Post a Comment