Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Balozi wa Ireland Nchini, Mhe. Anne Barrington ambaye alikweda kumuaga Waziri Mkuu, Ofisini kwake Bungeni , Mjini Dodoma, Juni 8, 2010.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Mbunge wa Mji Mkongwe, Ibrahim Muhammad (kulia) kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Juni 8, 2010. Katikati ya Mbunge wa Singida Kusini, Mohamed Missanga.
Waziri Mkuu akiongozana na Mbunge wa Singida Kusini, Mohamed Missanga.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Peramiho, Jenista Mhagama, Bungeni Mjini Dodoma Juni 8, 2010. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)3353 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Mbunge wa Singida Kusini, Mohamed Missanga wakitoka kwenye ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma Juni 8, 2010.
Posted by MROKI
On Wednesday, June 09, 2010
No comments
0 comments:
Post a Comment