Mkuu wa Udhamini wa kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania, George Rwehumbiza, akitoa mada juu ya udhamini wao katika michezo mbalimbali nchini, wakati wa semina ya wahariri wa habari za michezo iliyoandaliwa na kampuni ya Keen Arts na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania.
Mwenyekiti wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT), Idd Kipingu, akizungumza wakati wa kufungua semina ya wahariri wa habari za michezo iliyoandaliwa na kampuni ya Keen Arts na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania, kwenye ukumbi wa hoteli ya Giraffe Ocean View Resort, Dar es Salaam leo.
Mtaalamu wa Mambo ya Habari wa Vodacom Tanzania, Matina Nkurlu, akirekodi majadiliano yaliyokuwa yakiendelea wakati wa semina ya wahariri wa habari za michezo

Sehemu ya wahariri wa habari za michezo wakifuatilia semina
iliyoandaliwa na kampuni ya Keen Arts na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania.
Posted by MROKI
On Wednesday, June 09, 2010
No comments
0 comments:
Post a Comment