Mwenyekiti mwenza wa "Women Deliver" 2nd Global Conference on 'delivering solutions for girls and women' Dr. Fred Sai akiendesha kikao cha wake za marais na ma-princesses kilichofanyika katika ukumbi wa Washington Convention center.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akisalimiana na Bi Christy Turlington,a CARE advocate for maternal health and film maker and a contributing editor at Marie Claire Magazine. Kushoto ni Mama Shadya Karume mke wa Rais wa Zanzibar.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Shadya Karume akisalimiana na Bi Christy Turlington,a CARE advocate for maternal health and film maker and a contributing editor at Marie Claire Magazine.
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Shadya Karume akisalimiana na Dr.Fred Sai,kutoka Ghana,Mwenyekiti Mwenza wa 'Women Deliver' wakati wa kikao cha wake wa marais kinachofanyika huko Washington na kulia ni Mama Salma Kikwete wakati wa kikao cha faragha cha Wake wa Marais.
0 comments:
Post a Comment