Nafasi Ya Matangazo

June 29, 2010

Askari wa Jeshi la Polisi wakiwa katika doria kwenye pori la akiba la Selous (Selous Germ Reserve) wakati wa operesheni ”Kipepeo III” kwa ajili ya ukamataji wa mangili wanaouwa wanyama pori. Jumla ya bunduki 63 zilikamatwa na watuhumiwa 105 walikamatwa katika operesheni hiyo iliyoshirikisha askari wa Tanapa, Jeshi la Polisi na askari wa gemu. Operesheni iliahirishwa jumatatu.
Naibu Kamishna wa Polosi anayeshughulikia operesheni (DCP) Venance Tossi akitoa maelekeza kwa askari wa jeshi la polisi na askari wa wanyama pori la akiba la Selous (Selous Germ Reserve) wakati wa operesheni ”Kipepeo III” kwa ajili ya ukamataji wa mangili wanaouwa wanyama pori. Jumla ya bunduki 63 zilikamatwa na watuhumiwa 105 walikamatwa katika operesheni hiyo iliyoshirikisha askari wa Tanapa, Jeshi la Polisi na askari wa gemu. Operesheni iliahirishwa jumatatu.

Mkurugenzi idara ya Wanyama Pori, Erasmus Tarimo akiangalia moja ya bunduki 63 zilizokamatwa katika operesheni kipepeo III ya ukamataji ujangiri katika mbuga ya akiba ya selou. Jumla ya bunduki 63 zilikamatwa na watuhumiwa 105 walikamatwa katika operesheni hiyo iliyoshirikisha askari wa Tanapa, Jeshi la Polisi na askari wa gemu. Operesheni iliahirishwa jumatatu. Kushoto ni Naibu Kamishna wa Polosi anayeshughulikia operesheni (DCP) Venance Tossi na katikati ni Mkurugenzi msaidizi wa kuzuia ujangili, Boniventure
Posted by MROKI On Tuesday, June 29, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo