Nafasi Ya Matangazo

June 15, 2010

Kamishna wa Polisi (CP) Zanzibar, Musa Ali Musa akivishwa cheo cha ukamishna jana na Afisa Mnadhimu wa Makao Makuu ya Jeshi la Polisi Kamishna Msaidizi (ACP), Hassan Mbezi katika ukumbi wa mikutano wa makao makuu ya jeshi la Polisi baada ya kuapishwa na Inspekta Jenerali kuwa kamishna wa Zanzibar. Kamishna Musa alikua naibu Mkurugenzi wa upelelezi wa makosa ya jinai akiwa na cheo cha Kamishna Msaidizi Mwandamizi.Kamishna wa Polisi (CP) Zanzibar, Musa Ali Musa akivishwa jojeti ya ukamishna jana na Afisa Mnadhimu wa Makao Makuu ya Jeshi la Polisi Kamishna Msaidizi (ACP), Hassan Mbezi katika ukumbi wa mikutano wa makao makuu ya jeshi la Polisi muda mfupi baada ya kuapishwa na Inspekta Jenerali kuwa kamishna wa Zanzibar. Kamishna Musa alikua naibu Mkurugenzi wa upelelezi wa makosa ya jinai akiwa na cheo cha Kamishna Msaidizi Mwandamizi.
Kamishna wa Operesheni Paul Chagonja akimpongeza Kamishna wa Zanzibar, Musa Ali Musa bara baada ya kumuapisha kuwa kamishna jana Makao Makuu ya Jeshi la polisi. Kamishna Musa alikua naibu Mkurugenzi wa upelelezi wa makosa ya jinai akiwa na cheo cha Kamishna Msaidizi Mwandamizi.
Inspekta Jenerali wa Polisi, Saidi Ali Mwema, akimpongeza Kamishna wa Zanzibar, Musa Ali Musa bara baada ya kumuapisha kuwa kamishna jana Makao Makuu ya Jeshi la polisi. Kamishna Musa alikua naibu Mkurugenzi wa upelelezi wa makosa ya jinai akiwa na cheo cha Kamishna Msaidizi Mwandamizi.
Posted by MROKI On Tuesday, June 15, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo