Nafasi Ya Matangazo

June 15, 2010

Ilikuwa ni siku ya furaha kwa Bwana. Michael Mwanzalima Mihayo na Bi Hossana Haule, walipoamua kufunga pingu za maisha na kuishi pamoja wakiwa ni Mke na Mume. Ndo hiyo takatifu ilifungwa katika Kanisa Katoliki Kawe Dar es Salaam na kufuatiwa na tafrija kubwa iliyofanyika katika Ukumbi wa Bwalo la Jeshi Lugalo. Bwana Harusi ni Afisa Ustawi wa Jamii Manispaa ya Kinondoni na Bi Harusi ni Mjasiriamali.
Maharusi wakipata baraka za kuunganishwa kwao na kuwa mwisli mmoja.
Hossana akimvisha pete Michael ikiwa ni ishara ya agano lao la kuishi pamoja kama mke na mume. Mihayo na Hossana baada ya kuvalishana pete. (Picha na MD Digital 0755 373999/0717002303 Dar es Salaam).
Posted by MROKI On Tuesday, June 15, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo