Nafasi Ya Matangazo

June 23, 2010

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipokea zawadi kutoka kwa Kiongozi wa Ujumbe kutoka Kampuni ya Mwasiliano ya VIETTEL GROUP ya Vietnam, Nguyen Manh Hung katika mazungumzo yaliyofanyika Ofisini kwa Waziri Mkuu, Bungeni Mjini Dodoma Juni 22, 2010.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Balozi wa Rwanda Nchini, Bibi Fatuma Ndangiza kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Juni 22, 2010.
Mbune wa Kuteuliwa, Zakia Meghiji (katikati) akizungumza na Mbunge wa Busega, Raphael Chegeni (kushoto na Mbunge wa Viti Maalum, Joyce Masunga kwenye viwanja vya bunge Mjini Dodoma , Juni23, 2010.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Spika wa Bunge Samuel Sita (kushoto) na Mwenyekiti wa CCM wa wilaya ya Urambo, Juma Dewji kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Juni 22, 2010.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiagana na Spika wa Bunge la Rwanda , Mhe. Vincent Biruta, baada ya mazungumzo yao, Ofisini kwa Waziri Mkuu mjini Dodoma Juni 22, 2010.

Posted by MROKI On Wednesday, June 23, 2010 1 comment

1 comment:

  1. AnonymousJune 23, 2010

    naomba kuwakilisha hapo juu.ni mh dkt vicenti biruta.

    mdau kigali makazi boksini kusaka chake

    ReplyDelete

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo