Wakiwa na nyuso za furaha ni Bwana Joseph Philip na Bi. Grace Kibuyu baada ya kufunga ndoa yao takatifu katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Joseph Dar es Salaam leo. Philip ni mfanyakazi wa Benki ya Baclays na Biharusi ni Mwanchuo wa Chuo cha Uhasibu.
Maharusi Sweerbert Mashiwe na Tayana Masanje wakiwa wenye furaha baada ya kuwa mwili mmoja kwa kufunga ndoa katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Joseph Dar es Salaam leo. Bwana harusi ni mfanyakazi wa Groop Bond na Bi harusi ni Mwalimu.
Tangu sasa Anselm Namala na Johanestina Lwehabura ni mwili mmoja. Ndoa hii ilifungwa Jumamosi iliyopita katika Kanisa Katoliki la Mtakatifu Joseph Dar es Salaam na kufuatiwa na tafrija katika ukumbi wa Karimjee Dar es Salaam. Bwana harusi ni Mfanyakazi wa Taasisi ya Taifa ya Uzalishaji (NIT) na Biharusi ni Mfanyakazi wa Benki ya CRDB. Picha zote na MD Digital
Mob: +255 755 373999
0 comments:
Post a Comment