Kikosi kamili cha Taifa Stars ya Tanzania kilichotoka sare ya goli 1-1 na Rwanda.
Kikosi cha timu ya Taifa ya Rwanda "Amavubi".
Mfungaji wa goli la Taifa Stras Mrisho Khalfan Ngasa (kulia) akimkimbiza Donatien Tuyizere wa Rwanda. Timu hizo zilifungana goli 1-1 katika mchezo wao kwanza wa kuwania kufunzu kucheza fainali za mataifa ya Afrika kwa wachezaji wa ndani.
0 comments:
Post a Comment