Nafasi Ya Matangazo

May 25, 2010

Mkuu wa kitengo cha biashara Kees Verbeek wa Benki ya NMB akizindua Rasmi club ya wafanya biashara wakubwa na wakati wa Benki ya NMB .
Zaidi y ash Billion 700 zimekopeshwa kwa wateja hao katika miaka mitatu iliyopita mkoani Arusha.kushoto ni meneja wa NMB kanda ya kaskazini Vicky Bishubo akishuhudia
uzinduzi huo.
Hafla hizo za ufunguzi zilifanyika mwanzoni mwa juzi
mkoani Arusha.
Posted by MROKI On Tuesday, May 25, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo