Nafasi Ya Matangazo

May 25, 2010

Mwendeshaji wa blogu hii Mroki Mroki maarufu Father Kidevu (kulia) akikabidhi mpira kwa timu ya Kitongoji cha Kinyenze, Kinyenze United (KU) na kupokelewa na Nahodha wa timu hiyo
Magari Kimbwego.
Father Kidevu ni mzaliwa wa Kitongoji hicho kilichopo Kijiji cha Kipera, Tarafa na Kata ya Mlali Wilaya ya Mvomero Mkoani Morogoro. FK alikabidhi mpira huo waliomuomba na bado timu hiyo inahitaji jezi.
Mbali na timu hiyo pia Kinyenze wanatimu ya Vijana U-20 pamoja na ile ya Wazee ambazo zote zinahitaji msaada wa vifaa vya michezo.
Blogu hii nakaribisha wadau wenyemoyo wa kuchangia na kuendeleza michezo kusaidia timu hizo za
Kijiji kwa FK.
Posted by MROKI On Tuesday, May 25, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo