Baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza Naibu Waziri Kiongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Waziri wa Habari,Utamaduni na Michezo,Ali Juma Shamuhuna (hayupo pichani) akifungua mkutano wa Waandishi wa Habari sambamba na Siku ya Uhuru wa Habari Duniani huko Ocean View Hoteli Kilimani Zanzibar,
Leo ni siku ya Uhuru wa vyombo vya Habari Duniani ambapo Tanzania Kitaifa inaadhimiswa Visiwani Zanzibar.
0 comments:
Post a Comment