Rais Jakaya Kikwete akifungua pazia kuashiria uzinduzi rasmi wa mtambo wa pili wa kuzalisha saruji wa kampuni ya Tanga Cement mjini Tanga leo. Kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya kampuni hiyo,
Charles Claude. Baadhi ya wafanyakazi wa kiwanda hicho wakipiga picha ya pamoja na waziri na wageni wengine.
Wakisalimiana na Waziri wa Viwanda Biashara na Masoko DK. Mary Nagu.
0 comments:
Post a Comment