
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunu wakiwa katika mavazi yaa asili ya wananchi wa Singida waliyovalishwa na wazee wa kijiji cha Ilongero wilayani Singida wakati Waziri Mkuu alipozindua kidato cha tano katika shule ya sekondari ya Ilongero akiwa katika ziara ya mkoa juzi.

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifungua jengo la Wodi ya Macho katika hospitali ya Mkoa wa Singida akiwa katika ziara ya mkoa huo juzi. Kushoto ni Mkewe Tunu na kulia ni Mbunge wa Singida Mjini Mohammed Dewji.
0 comments:
Post a Comment