Nafasi Ya Matangazo

May 01, 2010

TAMASHA LA MAGIC FM NA VODACOM LAFANA KATIKA VIWANJA VYA POSTA KIJITONYAMAMchezaji wa Mwananchi Communication Majuto Omary akitaka kuwatoka walinzi wa Serengeti,ila aliipatia timu yake goli 1-0
Matina Nkuru wa Vodacom akishangilia na vulindela lake
Chenga tu kati uya Vodacom na Magic.
Mchezaji wa Voda Star Deodatus Kitego akiwanyanyasa wapinzani wenza Magic Fm.
Kikosi cha Mwananchi
Kikosi cha PSI
Goli hilo
Mbio mtindo mmoja
Mshambuliaji wa Magic Fm Cyprian Msiba akijianda kupiga shuti kuelekea lango la Voda Star.
(Voda Star 4 Magic Fm 1) (Mwananchi 1 Serengeti 0)

Posted by MROKI On Saturday, May 01, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo