Nafasi Ya Matangazo

May 28, 2010

Meneja wa M-Pesa Mkoa wa Dares Salaam Moses Krom(kushoto) akimkabidhi Fadhil Mohamed(kulia) mkazi wa mbagala simu ya mkononi baada ya kushinda kujibu maswali ya kombe la dunia kwa njia ya SMS inayoendeshwa na Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania,wapili kutoka kushoto Meneja wa duka la Vodacom Mbagala Beatrice Simkoko,Msimamizi wa Mauzo wa Vodacom Dares Salaam Saimon Mwambapa.
Meneja wa duka la Vodacom Mbagala Beatrice Simkoko(kushoto)akimkabidhi Fadhil Mohamed(kulia) mkazi wa mbagala simu ya mkononi baada ya kushinda kujibu maswali ya kombe la dunia kwa njia ya sms inayoendeshwa na kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania.(katika)Meneja wa M-Pesa Mkoa wa Dares Salaam Moses Krom.
Posted by MROKI On Friday, May 28, 2010 No comments

0 comments:

Post a Comment

  • Facebook
  • Twitter
  • Youtube

Labels

Blog Archive

Nafasi Ya Matangazo