Mdau Richard Kasesela akiwa na Mama Mwangomale hii ni siku kadhaa zilizopita baada ya kufanya zira huko nyumbani Rungwe. Hakika mazingira ya Rungwe yanavutia, kazoro tu zoezi la upandaji miti linatakiwa litiliwe mkazo.
Posted by MROKI
On Thursday, May 06, 2010
1 comment
Hakika KUNAPENDEZA .... the green view is what makes it look cute.... lov this land so much
ReplyDelete