Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akishiriki kwenye mjadala wa "Leading Government's Reach to women" pamoja na Mheshimiwa Nguyen Thi Doan,Makamu wa Rais wa Vietnam,katikati, na mwishoni ni Moderator Yang Lan, Afisa Mtendaji Mkuu na Mmiliki wa 'Sun Media Group'nchini China leo.
0 comments:
Post a Comment