

Waziri wa Habari Utamaduni na Michezo George Mkuchika akipata maelezo kutoka kwa washiriki mbalimbali kuhusu vifaaa mbalimbali yakiwemo vya jadi na utamaduni wakati wa kilele cha maadhimisho ya siku ya Utamaduni Duniani inayoadhimishwa kitaifa katika uwanja wa Mandela mkoani Singida.
0 comments:
Post a Comment