Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais anayeshughulikia masuala ya Mazingira Mh. Dkt Batilda Salha Burian, akimsikiliza Bw. Alex Kajumulo mdau wa michezo ambae alikuja kumtembelea Ofisni kwake na kuona namna ambavyo anaweza kuinua michezo katika Mkoa wa Arusha kwa kuifadhili timu ya mpira wa miguu ya mkoani Arusha (Arusha FC).
May 11, 2010
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kampuni ya Kajumulo iliuza DVD nyingi za wanamuziki wa Tanzania, je ni lini atawapa wanamuziki hao pesa yao?
ReplyDeletekajumulo umechoka unafanya mchezo kuwekeza soka bongo
ReplyDelete