Ajali posta leo kati ya Magari ya biashara Texi na Dalala katika barabara ya Azikiwe.
Madereva wakijadiliana namna ya kusaidiana.
Magari yalifunga njia na kuleta foleni kubwa na kufanya mengine kuzunguka mtaa wa Zanaki.
Posta kwa saa kadhaa ilikuwa nyeupe bila gari namna hii.
0 comments:
Post a Comment